
Paroles de Clowning Hii Nairobi
Paroles de Clowning Hii Nairobi Par HITMAN KAHT
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Leo niko bash na my drink is calling
Caro anasumbua na ma video calling
Backgrond ya white na nikae nimechoka
Beb niko home leo sidai hata kutoka
Kiasi akanicheki kwa ma Insta story
Keg na Ombitho nikisugua Tory
Mi kusafisha ndo nitokee hii ngori
Nikaenda kwa room ah Caro na Tony?!
Kizungumkuti ule hata na kizungu humkuti
Aah kizungumkuti ule hata na kizungu humkuti
Na hatuwezi meet archives
Hapo kuna Ex wangu, babake, sistake, brathake
Neiba wangu, mode wangu, mboch wangu
Gukake nyanyake (Na nani?)
Gukake nyanyake, Gukake nyanyake
Gukake nyanyake na nani
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
I can't tell if she is yours or mine
She is in my place like all the time
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Ye si dem wako manze huyo ni wa mbogi
Mali safi iende chain pass hio body
Unatuma text Brayo anapiga doggy
We unakula emoji mi nakula pongi
Usidishi peke yako buda share omera pogi
One big bedroom is a one big town
For every two people one is a clown
Unapost IG ati maqueen na macrown
Lakini wapi vitu different kwa ground
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Nampiga kitu bana anadai haitoshi
Size kubwa haitoshi
Simchochi haitoshi balaa
Na bado anadai kunisuka
Ah sinaga war ana kuth thigi thigi
Hujai skia chopa ikiboom boom shigi
Mrazi alibambwa na wife ya bingi
Mbata hazidance hapo ka hamnichi
Dem hugawa jo kushinda boda
Hapa na pale haijalishi border
SGR, Uber East na madias F boda
Ametight na mabuda, walami na oga
Ni mgyalis, amepandis mbanati
Na madangi akisanif sanif
Ni mgyalis, amepandis mbanati
Na madangi akisanif
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Clowning hii Nairobi, ishakuwa hobby
Ecouter
A Propos de "Clowning Hii Nairobi"
Plus de Lyrics de HITMAN KAHT
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl