Paroles de Speed
Paroles de Speed Par COUNTRY WIZZY
Niko speed now, niko speed now
Vitu viko vingi niko speed now
Niko speed now, niko speed now
Mambo yako mengi niko speed now
Niko speed now and that's the spirit now
I see alot of niggas hating but they see me now
They wanna see me down, but they don't see me now
We came from money one time, we don't kill it now
Wanataka nimwage ndani na sipigi bao
Utanikuta na gang machawa sitoki now
Haters hating mi sishoboki now
Na hata wakitaka tuondoke mi siondoki nao
24/7 niko high niko sticky sticky
Maswali mengi ati why ati siskiki
Wanasema mi malaya ati sisikiki
Shale mnasubiri nifanye kiki
Dada zao wanalia mi ni player
Huku manigga mikono in the air
Tuko high vindo vingi we don't care
Tell them mtherfucker don't dare
Niko speed now, niko speed now
Vitu viko vingi niko speed now
Niko speed now, niko speed now
Mambo yako mengi niko speed now
Yes niko nduki, yes sikumbuki
Hata dem nilimkaza jana sikumbuki
Hapa ukitaka kiki utaambulia mashuti
Kwa stress zetu mwaka mpya hatupigi baruti
Yes wizzy but na zombie bwana mbonge la kombi mwana
Hii kitu ilianza way back usiku na mchana
Japo rally bana mmmh padogo sana
Si tupo tunashine mitonyo kwa sana
24/7 niko high niko sticky sticky
Maswali mengi ati why ati siskiki
Wanasema mi malaya ati sisikiki
Shale mnasubiri nifanye kiki
Dada zao wanalia mi ni player
Huku manigga mikono in the air
Tuko high vindo vingi we don't care
Tell them mtherfucker don't dare
Niko speed now, niko speed now
Vitu viko vingi niko speed now
Niko speed now, niko speed now
Mambo yako mengi niko speed now
Ecouter
A Propos de "Speed"
Plus de Lyrics de COUNTRY WIZZY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl