Paroles de Number 1
Alikiba "Number 1" est une chanson spéciale de félicitations au pré...
Paroles de Number 1 Par ALIKIBA
Magufuli vitendo
Si maneno maneno
Tunampa kitengo
Kwa kufika malengo eeh
Ameziba mapengo
Kwa upendo upendo
Eeh bwana wanazingui
Anzeni vikao vya send of yeah
Maaana (Aah)
Magufuli number 1 (Eeh)
Hatuna mpinzani (Ooh)
Kwa bara na visiwani (Mama yooh)
Na tumeshawazima eeh
CCM ni nambari one
CCM ni number 1
CCM ni nambari one
(Number one, number 1)
Na tumeshawazima eeh
CCM ni nambari one (Mama Samia)
CCM ni number 1
CCM ni nambari one
(Number one, number 1)
Na tumeshawazima eeh
Mama Samia tumeshawazima ooh, aah
Majaliwa eeh, aiya
Tumeshawazima eeh, mama yoh
Mama Samia commando yeah
Na Majaliwa shikilia ngunzo ooh
Na CCM ni chombo
Na tusiwape time watutibue nyongo
Maaana (Aah)
Magufuli number 1 (Eeh)
Hatuna mpinzani (Ooh)
Kwa bara na visiwani (Mama yooh)
Na tumeshawazima eeh
CCM ni nambari one
CCM ni number 1
CCM ni nambari one
(Number one, number 1)
Na tumeshawazima eeh
CCM ni nambari one (Mama Samia)
CCM ni number 1
CCM ni nambari one
(Number one, number 1)
Na tumeshawazima eeh
Mama Samia tumeshawazima ooh, aah
Majaliwa eeh, aiya
Tumeshawazima eeh, mama yoh
Wanaogopa eeh, wanaogopa
Wanaogopa eeh, wanaogo, wanaogo
Wanaogopa eeh, wanaogopa
Wanaogopa eeh, wanaogo, wanaogo
Wanaogopa eeh
Kata fungua kata
Kwanzia bara visiwani
Kata fungua kata
CCM number 1, mama yoh
Na mama Samia eeh
Majaliwa number one eeh
Shika usukani yoh oh mama eeh
Na mama Samia ee, Tanzania moja
Tanzania bara, Tanzania visiwani
CCM number 1
Wanaogopa eeh, wanaogopa
Wanaogopa eeh, wanaogo, wanaogo
Wanaogopa eeh, wanaogopa
Wanaogopa eeh, wanaogo, wanaogo
Wanaogopa eeh
CCM ooh, number 1 eeh
Magufuli oooh, hapa kazi tu!
Ecouter
A Propos de "Number 1 "
Plus de Lyrics de ALIKIBA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl