
Get Busy Lyrics
...
Get Busy Lyrics by DYANA CODS
Skrrrrt
Cods
Beats Afriq
Bruk it up, work it up
Bruk it up all night
Every dance ni venye unafeel nice
Siongei juu ya wada nikisema ilirain twice
Mraaah… must be nice
Nabadilisha jina to Khadija Kopa
Worldboss ni mimi ndo nafaa kukopa
This year sidai form za mawindow shopper
Vitu ninabuy zikuwe zimejaza commas
Mraah nina hotline bling anadai ameteveva
Utabidi umejileta
Namkamatia chini my guy see you later
Form ya leo ni kukesha
Get busy with the gal, get busy with the gal
Ju ya asante kujileta
Get busy with the gal, get busy with the gal
Ju ya asante kujileta
Ye ni msupa anakazia kuingia na exit
Nateleza nao wote niko na payslip
Healthy nawageuza geuza
Mandom napurura nawatupia lugha
Tufanye waters testing
Mchuuzi nachambua kuongeza mchuzi
Na naeza kanyagia riba zote za juzi
Na mmejaza ujuzi, bubbly ka jacuzzi
Na tafadhali usitupangie harusi
Njipi bado ukisleki
Get busy niko busy inna my lady
Kwa rada kwa kuni-inn ni ka uja uma njei
Kuna msee ameingia na jill na amekata kreti
Mkulima akarudi home na matunda 16
Ni beshte ya mi, siko insecure na mbling
Mashore wameshonwa kurudi kureceive
Through pass arif, mrazi delete
Ni ma hotline bling anadai ameteveva
Utabidi umejileta
Namkamatia chini my guy see you later
Form ya leo ni kukesha
Get busy with the gal, get busy with the gal
Ju ya asante kujileta
Get busy with the gal, get busy with the gal
Ju ya asante kujileta
Ni ma hotline bling anadai ameteveva
Utabidi umejileta
Namkamatia chini my guy see you later
Form ya leo ni kukesha
Get busy with the gal, get busy with the gal
Ju ya asante kujileta
Get busy with the gal, get busy with the gal
Ju ya asante kujileta
Watch Video
About Get Busy
More DYANA CODS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl