DIAMOND PLATNUMZ Nalia na Mengi cover image

Nalia na Mengi Lyrics

Nalia na Mengi Lyrics by DIAMOND PLATNUMZ


Me niliambiwa mapenzi ni kama bahari, ukishazama ndo basi umepotea,
kumbe mwenzangu alikuwa na ta...,
badala ya kuzama me kwangu akaelea,
akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana,
mikwanja nikamwaga mama, japo sio kivile .......,
akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana,
mbona mifedha nikamwaga mama,japo sio kivile .......,
wakaja wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua,
wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua ayayayayaaaa

Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi,
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia nalia nalia na mengi,
uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi

Najua alimaanisha kuwa simfai ila lakini angesema,
kuliko alichofanya me akantoa nishai akanimeza akanitema
nyie mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya,
mmmmhhhhh mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya
.... safari ndo inanifanya mi usingizi sipati,
huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia harufu yake ya marashi
me kwa uchungu nilivyoumia katika hili songi......
nalia, nafuu ..... kwa hisia naimani iko siku nyimbo itamfikia
me kwa uchungu nilivyoumia mie katika songi......
nalia, nafuu ..... kwa hisia naima ni iko siku nyimbo itamfikia
ayayayaaaa

Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi,
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia nalia nalia na mengi,
uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi


Usione nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa,
we ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa,
na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa
....wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie,
njia yetu moja niache nipite si ukasimulie
...... ya kinyamwezi na swaga zako juu ,
na miguu napata picha kitandani kungfu
uko juu ukipita lazima wasome namba,
we ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
huu ndo mfano hata unajua neno pamba si ........
kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba
mikogo kila leo ntajigamba......kisela piga teke inauma
usiombe map

Watch Video

About Nalia na Mengi

Album : Nalia na Mengi (Single)
Release Year : 2014
Copyright : (C)2014
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 01 , 2020

More DIAMOND PLATNUMZ Lyrics

DIAMOND PLATNUMZ
DIAMOND PLATNUMZ
DIAMOND PLATNUMZ
DIAMOND PLATNUMZ

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl