Raha Lyrics
Raha Lyrics by CITYBOY
Hali yangu doro, twashindia viporo
Penzi letu mwororo, sioni hata kasoro baby
Nashuhudia waja wakituandama
Maneno mengi wanaleta fitina
Sio kama tumeanza jana
Kwa jinsi tunavyopendana
Havai vigodoro
Mwali anichezesha dombolo
Na masolo solo
Wanaepata kero baby
Utu wake mali yangu
Ye chai mi mkate
Yaani nampa vyote
Vyote vyote tamu yake my wangu
Ye ndo doctor wa moyo wangu
Wa maradhi yote ananipa vyote
Vyote vyote kamaliza haja zangu
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Amenikanja kanja hoi sijiwezi City man
Anakunja kunja hoi safarini kilimani
Akizima koroboi, akibana sichomoi
Asa naenjoy, njoy
Mara niko Dubai na mtoto
Twakula na mapochopocho
Nikirudi na nyumbani nampa kimoko
Burudani motomoto
Havai vigodoro
Mwali anichezesha dombolo
Na masolo solo
Wanaepata kero baby
Utu wake mali yangu
Ye chai mi mkate
Yaani nampa vyote
Vyote vyote tamu yake my wangu
Ye ndo doctor wa moyo wangu
Wa maradhi yote ananipa vyote
Vyote vyote kamaliza haja zangu
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Ananipa raha mtoto ananipa raha
Watch Video
About Raha
More CITYBOY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl