Wiper Lyrics by CHEGE


Wiper, wiper, wiper
Wiper, wiper, wiper
Wiper, wiper, wiper
Wiper, wiper, wiper

Starehe kila kukicha
Aiyaya yayayaya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiyaya yayayaya

Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper

Kwenye beat mi napita kama Babylon
Niko chicha mita mia mbele mi sioni
Hizi hisia za kiras toka maghettoni
Nina sinzi mpaka beiby gari sizioni

Kwani mko wapi? 
Si tupo huko tunakula starehe
Vua mpaka shati juu ya mizuka kupanda
Tuchonge kiparty(Just like that)

Tukitimba, gangari wee 
Gangari eh eh eh
Tukiwaka, gangari wee
Eeh eh eh ...

Starehe kila kukicha
Aiyaya yayayaya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiyaya yayayaya

Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper

Ukishafika umri wa baleghe 
Ndio wakati wa starehe
So macho kwa kalenda 
Tunacheki tarehe, za mshahara
Kisha tuianze sherehe
Alafu wavuta sigara sio chuki ka Wyre
Wana laana kama hawana wazazi hawa watoto
Na leo wamekutana na mvunja nazi kwa uki

Ukitaka piece, kanyaga
Team mafisi hatunaga
Akisha tupande ibilisi
Hatujagui pa kumwaga

Yaani, aah eeeh kama wiper
Ni Roma na baba Yada yaani shah kama magdem 
Nawazoom zoom yaani nawalenga kama sniper
Nikimwaga sumu wanajua mi ndo tiger

Sa ona mi nishawakawaka
Na bado mapema mi nasakasaka
Sioni mbele naona tu masinema na matakataka
Muwe na siku njema mi nishalewa nyakanyaka

Starehe kila kukicha
Aiyaya yayayaya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiyaya yayayaya

Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper

Wiper eeh, wiper aah
Haujaniwasha, najiwasha kama lighter
Wiper eeh, wiper aah
Mtoto karidhika kalideng'a la kitiger

Shori, come close to mi 
Stori, njoo uplease nami
Shori, shika glass ya wine
Shori, leo ni kuku na maini

Starehe kila kukicha
Aiyaya yayayaya
Yaani starehe ni kila kukicha
Aiyaya yayayaya

Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper
Aah eeeh kama wiper

Watch Video

About Wiper

Album : Wiper (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 05 , 2019

More CHEGE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl