Karibu Lyrics
Karibu Lyrics by CHARISMA
Oh baby
I’d like to confess kuna wengi waresh
But you’re the best of the best
Na oh daily I thank God that we met
I don’t have no regrets
Mpaka tuwe wazee
We ndio pekee
Nani atakupenda
Vile nakupenda
Wengine watasema
Lakini hawatatenda
Nani atakupea
Penzi la forever
Hakuna mahali me ntaenda
No
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu nawe
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Njoo niwe karibu nawe
I’m ready to try everything
Kila kitu nitajaribu
Niwe Karibu, my love
Coz you know you’re my everything
Na ata wakitry kuharibu
Wale wenye wivu
Hawataweza
Wengi wao watatusema, wataongea chini ya meza
Wakijaribu si kututenga
Lakini hawataweza
Me Na wewe Mpaka forever
Na siogopi nishajisema Na mpaka jaba nilishatema
Mama
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu nawe
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Nikiwa karibu
Njoo niwe karibu nawe
Nawe nawe nawe nawe nawe
Watch Video
About Karibu
More CHARISMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl