Ni Ya Mtaa Lyrics
Ni Ya Mtaa Lyrics by C CIPI
Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto
Mtaa hakuna mataa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Nataka niwe taa ya ghetto(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Ng'ang'ana kazana wewe ni shujaa
Struggle, hustle, hutalala njaa
Huwezi muomba akunyime taa
Ana kila kitu, store yake imejaa
Life ni kujikaza kama soldier ndani ya kambi
Kwani umasikini kaka-dada sio dhambi
Utajiri si kitambi
Hata usikie uduu aje, usiwai kunywa sumu
Usiwahi kata tamaa hata life ikuwe ngumu
Ng'ang'ana jikaze kama kamba za njumu
Kumbuka inakatwa na inamea kucha
Usiku kuwa refu haimaniishi hakutakucha
Your past to be dark, yeah it doesn't mean
Kuna bright future!
Ni ya mtaa, mtaa, mtaa
Ni ya mtaa, mtaa, mtaa
Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto
Mtaa hakuna mataa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Nataka niwe taa ya ghetto(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Utamu wa berry ni root kuwa deeper
Keep it simple, lakini usiwe cheaper
Maono, ndoto zako zilinde kama keeper
Hustle, jasho itoke na mishipa
Usichoke na kungoja, subira inalipa
Tena penye nia, njia lazima itajipa
Yaani hii ngoma, jo ni dedication
Kwa mayut wote, all over the nation
Ndani ya mambulu, hadi radio station
Jina ni C Cipi, nakupa motivation, inspiration
Life is a journey, sio destination
Kesho inajengwa na today preparation
Unaneed focus na determination
Manze na utafika penye unataka
Bila hesitation
Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto
Mtaa hakuna mataa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Nataka niwe taa ya ghetto(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Sikiza mistari
Muziki ni dawa na me ndio daktari
Basi kaa tayari, raia, askari
Nikupe habari, maisha ni safari
Life is a journey
Big up Kiamaiko, Huruma ndio nyumbani
Tena its a jungle, ghetto ni njagwani
Lazima u-struggle, hustle uget money
Never ever give up, jo maishani
Kwani penye nia pana njia si utani
Unaweza kuwa chochote duniani
Kwani hakuna kitu,haiwezekani
Jiamini tu na utamake it yaani
A week, a month, is what make a year
Step by step, where you wanna be
Utaget near, live without fear
Its only in God, you can see the star
Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto
Mtaa hakuna mataa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Nataka niwe taa ya ghetto(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Tunatoka Ghetto na bado tuna ndoto
Mtaa hakuna mataa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Nataka niwe taa ya ghetto(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Mi nitawasha mtaa(ni ya mtaa mtaa mtaa)
Watch Video
About Ni Ya Mtaa
More C CIPI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl