Ilete Lyrics
Ilete Lyrics by BROWN MAUZO
Frasha
Ilete, ilete, ilete
Baby girl, bad girl taliban(mmh)
Noma kinoma yaani fire gun(boom)
Unawasha mwanga hata tukiwa gizani
Nyongwa ukitop it down
(Nyongwa ukitop it down)
Nipe nikupe mambo wikide(wikide)
Shikide, wikide everyday(everyday)
Kasimama dede jigide
Nyongwa ukitop it down
(Nyongwa ukitop it down)
Oooh sweety my one and only
Utamu wa zabibu
Uwapi nikukande kande
Kichwa hadi miguu eeh
Sweety my one and only
Utamu wa zabibu
Uwapi nikukande kande
Kichwa hadi miguu eeh
Iyo iyo ilete
Chini kwa chini mi naizaimia
Iyo iyo ilete
Juu kwa juu mi naitarajia
Iyo iyo ilete
Chini kwa chini mi naizaimia
Iyo iyo ilete
Juu kwa juu mi naitarajia
Ah, Frasha
Wananiitaga tu wamlambez
Ju ya venye mi hupeleka wamnyonyez
Hawajuagi bana mi ni wamtokez
Nikisha kuimaliza kuipandez
Hakuna cha mchezo twende kazi
No photoshop, no paparazzi
Wacha kijana tu leo ateleze
Wacha jasho imwagike kote
Au sio babaa
Na kabla tu nikaokote
Si uwache basi tufike tu sote
Nimekwama tu kama obote
Na leo utataja majina tu yangu yote
Oooh sweety my one and only
Utamu wa zabibu
Uwapi nikukande kande
Kichwa hadi miguu eeh
Sweety my one and only
Utamu wa zabibu
Uwapi nikukande kande
Kichwa hadi miguu eeh
Iyo iyo ilete
Chini kwa chini mi naizaimia
Iyo iyo ilete
Juu kwa juu mi naitarajia
Iyo iyo ilete
Chini kwa chini mi naizaimia
Iyo iyo ilete
Juu kwa juu mi naitarajia
Oooh sweety my one and only
Utamu wa zabibu
Uwapi nikukande kande
Kichwa hadi miguu eeh
Sweety my one and only
Utamu wa zabibu
Uwapi nikukande kande
Kichwa hadi miguu eeh
Iyo iyo ilete(ilete ilete ilete)
Chini kwa chini mi naizaimia
Iyo iyo ilete(ilete ilete ilete)
Juu kwa juu mi naitarajia
Iyo iyo ilete(ilete ilete ilete)
Chini kwa chini mi naizaimia
Iyo iyo ilete(ilete ilete ilete)
Juu kwa juu mi naitarajia
Wamlambez, wamnyonyez, wamtokez
Kuipandez
Ayolizer
Watch Video
About Ilete
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl