Pili Pili Lyrics
Pili Pili Lyrics by BRIGHT
Umenishika baby nimenasa
Mimi kwako sichomoi
Umenifunga vyuma vimekaza
Kwa mwengine sidonoi
Kwako bubu mi mateka sina ujanja
Nipe nienjoy
Na mapenzi karata
Ukiniacha nitabaki hoi
Knockout kwa ulingo, mapenzi yamenivunja shingo
Nakuimbia na wimbo, we udance kwa maringo
Knockout kwa ulingo, mapenzi yamenivunja shingo
Nakuimbia na wimbo, we udance kwa maringo
Unaniwasha ka pilipili
Unaniumiza kisirisiri
Si uongo nakiri kiri
Umenikaa rohoni
Unaniwasha ka pilipili
Unaniumiza kisirisiri
Si uongo nakiri kiri
Umenikaa rohoni
Nimeridhia kuwa nimeridhika kukupenda
Haki ya Mungu nimesurrender eeh
Presha inashuka inapanda
Mwenzako mi natokaga udenda eeh
Mapenzi uchizi usinitese moyoni
Nipe nishibe nisitoke chumbani
Mwenzako nimelewa mbele sioni
Umeniteka akili kwa utamu wa kisogoni
Umenifanya niamini bila we siwezi kwa penzi lako
Mi mfungwa kifungoni sitoki tena, nimebaki kwako
Nimekubali kutoa kosa sina mashaka
Nipo tayari unachotaka mimi nitafuata
Knockout kwa ulingo, mapenzi yamenivunja shingo
Nakuimbia na wimbo, we udance kwa maringo
Knockout kwa ulingo, mapenzi yamenivunja shingo
Nakuimbia na wimbo, we udance kwa maringo
Unaniwasha ka pilipili
Unaniumiza kisirisiri
Si uongo nakiri kiri
Umenikaa rohoni
Unaniwasha ka pilipili
Unaniumiza kisirisiri
Si uongo nakiri kiri
Umenikaa rohoni
Watch Video
About Pili Pili
More BRIGHT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl