Chocolatte Lyrics
Chocolatte Lyrics by BRIAN NADRA
Watoto ni minji, watoto na pesa ndo jiji aah
Atoti wakili, atoti navalia wigi aaah
Atoti wa TV, atoti napiga vipindi aah
Atoti ni boss, na supu mapenzi ya topi aah
Supu yangu local, local napewa mboko
Mtoto anaumiza mbosho, nakafunga na nyororo
Toto ingine ni ya sonko, kananipeleka kombo
Kizungu naishi Toronto, amenikuta juu ya toto
Batoto ba Kenya wako na makalio
Tingi matekete
Watoto wa Africa wako na salio
Tamu tubutuke
Huku kwetu wako boujee
Wanapendaga kudancey
Hamsini na --
Shika wako usikose
Uchekweeee!!
Chocolatte, mwaga latte
Mtoto alambwe, mwaga mate
Chocolatte, mwaga latte
Mtoto alambwe, mwaga mate
Conductor simamisha katoke, shukisha katoke
Doctor inamisha kapone, inamisha kapone
Sponsor kalipie kasome, kalipie kasome
Chali boy shika mapombe, kalewe na pombe
Supu yangu local, local napewa mboko
Mtoto anaumiza mbosho, nakafunga na nyororo
Toto ingine ni ya sonko, kananipeleka kombo
Kizungu naishi Toronto, amenikuta juu ya toto
Batoto ba Kenya wako na makalio
Tingi matekete
Watoto wa Africa wako na salio
Tamu tubutuke
Huku kwetu wako boujee
Wanapendaga kudancey
Hamsini na --
Shika wako usikose
Uchekweeee!!
Chocolatte, mwaga latte
Mtoto alambwe, mwaga mate
Chocolatte, mwaga latte
Mtoto alambwe, mwaga mate
Mauno mauno, mauno mauno
Mauno mauno, mauno mauno
Mauno mauno, mauno mauno
Mauno mauno, mauno mauno
Batoto ba Kenya wako na makalio
Tingi matekete
Watoto wa Africa wako na salio
Tamu tubutuke
Huku kwetu wako boujee
Wanapendaga kudancey
Hamsini na --
Shika wako usikose
Uchekweeee!!
Chocolatte, mwaga latte
Mtoto alambwe, mwaga mate
Chocolatte, mwaga latte
Mtoto alambwe, mwaga mate
Kata kata, kata mauno kata
Kata kata, kata mwanangu kata
Watch Video
About Chocolatte
More lyrics from Nadrenaline album
More BRIAN NADRA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl