
This Year Lyrics
This Year Lyrics by BANEMBE JEREMIE
Eeeh
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
(nah nah nah nah mmmh banembe)
They call me banembe
Me najua maulana
Anaenda mbele yangu
Aki this year, eeeh this year
Aki mungu this year
(aaah aaah aii...this year)
Mungu wangu this year
(eee yeah)
Me najua maulana
Anaenda mbele yangu
Aki this year(aaah aaah aah)
Oooh aki this year(aaah aah eeh)
Mungu wangu this year(aah eeeh)
This year moto
(iwake, wacha moto iwake)
This year nare
(iwake, wacha nare iwake)
Motooo
(iwake, wacha moto iwake)
This year nare(fire nare)
(iwake, wacha moto iwake)
Ona mambo yafunguka(aii)
Mipango chungu nzima(aii)
Usinirudishe nyuma(no)
Usinirudishe nyuma no no
Ona mambo yafunguka(aii)
Mipango chungu nzima(aii)
Usinirudishe nyuma(no)
Usinirudishe nyuma (no no no....)
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
Hey okey,skiza
This year nipata ka ndae
This year nitapiga shida zangu bye bye
This year nitapata kanyumba
Ka house warming si tutasakata rhumba
This year italeta much profit
Extend biashara niwe na much a bigger office
This year nitaskia mziki zangu
Nimengoja sana i think ni time yangu
This year nitapata ka iphone
Nitoke kwa kabambe inibambie kwa iphone
This year nitapata afya fiti
Nikule vifiti, niishi vifiti
This year nitapata peace of mind,
Nitapata kiss of mine,
Nitapata miss wa mine
Apart from the other years
This is my year, me nasema this year
This year moto
(iwake, wacha moto iwake)
This year nare
(iwake, wacha nare iwake)
Motooo
(iwake, wacha moto iwake)
This year nare, fire nare
(iwake, wacha moto iwake)
Ona mambo yafunguka(aii)
Mipango chungu nzima(aii)
Usinirudishe nyuma(no)
Usinirudishe nyuma no no
Ona mambo yafunguka(aii)
Mipango chungu nzima(aii)
Usinirudishe nyuma(no)
Usinirudishe nyuma (no no no....)
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
This year mtanijua
This year mtanijua fiti
This year nipata ka ndae
This year nitapiga shida zangu bye bye
This year nitapata nyumba
Ka house warming si tutasakata rhumba
This year italeta much profit
Extend biashara niwe na much a bigger office
This year nitaskia mziki zangu
Nimengoja sana i think ni time yangu
This year moto
(iwake, wacha moto iwake)
This year nare
(iwake, wacha nare iwake)
Motooo
(iwake, wacha moto iwake)
This year nare(fire nare)
(iwake, wacha moto iwake)
Ona mambo yafunguka(aii)
Mipango chungu nzima(aii)
Usinirudishe nyuma(no)
Usinirudishe nyuma no no
Watch Video
About This Year
More BANEMBE JEREMIE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl