Kererembe Lyrics by BAHATI


Ni Bahati na The Kansoul

Madi kwenye track (Kererembe)
Baha na The Kansoul (Kererembe)
Mahater tunaleta (Kererembe)
Ni kufunika na (Kererembe)

Nikiwa na Jah Jah(Kererembe)
Baraka zina jaa jaa(Kererembe)
Mahater wanabonga(Kererembe)
Na bado show zinashona(Kererembe)

Referee ni mwenyezi (Kererembe)
Ashapuliza (Kererembe)
Ndio maana mi napendwa na (Kererende)
Mistari ziko tamu ka(Peremende)

Ni vitu ngapi mtaa nimeona
Kabla hakajaiva yaani nilisota
Before wanijue jah jah aliniona
Wacha sai blogs zinabonga

Madi kwenye track (Kererembe)
Baha na The Kansoul (Kererembe)
Mahater tunaleta (Kererembe)
Ni kufunika na (Kererembe)

Nikiwa na Jah Jah(Kererembe)
Baraka zina jaa jaa(Kererembe)
Mahater wanabonga(Kererembe)
Na bado show zinashona(Kererembe)

Aah! Garage noma, hainaga signboard
Mechanic mnoma huwa kwa kichorochoro
Mungu ni noma, na hajisifu
Akikubariki wacha jo kupiga mdomo

Si bahati, ngoma ni major
Hii ni mbogi natambuwa jah jah
Niko na Mungu jo mi siogopi warazzi
Nanyenyekea mbele ya Mungu shukrani

Kila mwaka mahits nawapa genge
Mkingoja nichape kererembe
Weka mikono juu cheki kerende
Pepo toka toka toka toka teke (Okonkwo!)

Nikiwa na Jah Jah (Kererembe)
Baraka zina jaa jaa (Kererembe)
Mahater wanabonga (Kererembe)
Na bado show zinashona (Kererembe)

Madi kwenye track (Kererembe)
Baha na The Kansoul (Kererembe)
Mahater tunaleta (Kererembe)
Ni kufunika na (Kererembe)

All the man in adi house and the gyal dem
Ukiona mikono juu mi ni suspect
Tukiingia si unajuwa tu ni rampage
Kunawaka mafuta taa leta nare

Napenda warembo tabia nzuri
Yule nitakaa na yeye harusi
Hadi maclande hata si wakumbuki
Devil akitucheki anatoka nduki

DJ cheza Calif ogopa
Nataka kuona raia wakizitoka
Ni Baha Kansoul mambo mbaya
Ningekuwa wewe ningeretire

Nikiwa na Jah Jah(Kererembe)
Baraka zina jaa jaa(Kererembe)
Mahater wanabonga(Kererembe)
Na bado show zinashona(Kererembe)

Madi kwenye track (Kererembe)
Baha na The Kansoul (Kererembe)
Mahater tunaleta (Kererembe)
Ni kufunika na (Kererembe)

Watch Video

About Kererembe

Album : Kererembe (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 EMB Entertainment.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 03 , 2020

More BAHATI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl