Hauna Cover (Aslay) Lyrics
Hauna Cover (Aslay) Lyrics by ANJELLA
Wo wo wo
Yeah yeah
Ilikuwa inakuumaga ukiniona nae
Ilikuwa inakuchomaga mwanaume wewe
Ulitamani wewe ndo uwage mie
Ndo maana nilipomuacha ukaamua umuoe
We hauna, we hauna
Hauna moyo kabisa hauna
We hauna, we hauna
Ulumagiki hata kulika
Oooh wewe
Alipopika chakula
Ulikuwa wakaa jikoni
Sikujua ni kwanini
Nilijua ushemeji tu
Kumbe kule mlikua
Mnayapanga ya kwenu nyinyi
Mpaka umemteka
Umekua gaidi juu
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji oh
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji
Aah shemeji ooh
Shemeji shemeji oooh
Kiroho upande, shemeji oooh
Shemeji shemeji oooh, kishingo upande
Mara oh tunaendana unaomba tusije kuachana
Eti unatupendaga sana kumbe ulinichora
Kumbe nyuki mwenye laana
Kaniacha manundu ya machana
Nilivyo beep ukapiga tu mapema
Ukasepa na sinyora
Kama masihara ukamvisha na shela
We mwana ni mbaya, oh ni mbaya
Sijui ulimpa dawa au ndo hela
Ila yote sawa
Mi nasema Inshallah Mungu atalipa aah
Alipopika chakula
Ulikuwa wakaa jikoni
Sikujua ni kwanini
Nilijua ushemeji tu
Kumbe kule mlikua
Mnayapanga ya kwenu nyinyi
Mpaka umemteka
Umekua gaidi juu
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji oh
Nimekubali nimekubali
Nimekubali nitamwita shemeji
Watch Video
About Hauna Cover (Aslay)
More ANJELLA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl