Hayakuhusu Lyrics
Hayakuhusu Lyrics by AKOTHEE
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Ana mimba huyo, ana mimba huyu
Hatosheki kabisa, wa sita huyo ni wa sita huyo
Mmmh aah, anadanga huyo, anadanga huyo
Hatulii kabisa ana shaka huyo, ana shaka huyo
Mara hana heshima eh, anakesha kupima
Si ati ni mtu mzima
Mwanangu wakapima virinda vyake nusu china eh
Ana kesha kupima, si ati ni mtu mzima
Mwanangu wanapima
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Ninapokula bata unakesha Insta kunichamba
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Usiku wako umbea kazi vicamera ukinifuata
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Unashindana na mimi utachanika misamba
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Ati nashinda uchi, funga mdomo shona na uzi
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
(Ninapokula bata unakesha Insta kunichamba)
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
(Usiku wako umbea kazi vicamera ukinifuata)
Ehe enhe we bwana vipi
Eti unampigia tarumbeta kiziwi asilale
Hallo
Aisha ee mastory, anataka abebwe mgongoni
Aisha ee mastory, anataka abebwe mgongoni
Yameisha maposti ya kuchamba, anataka nimbebe mgongoni
Aisha ee mastory, anataka abebwe mgongoni
Mtumie langu jina nikubebe mgongoni
Aisha ee mastory, anataka abebwe mgongoni
Bujuka bujuka bujuka .... hahahaha
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Unashindana na mimi utachanika misamba
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Ati nashinda uchi, funga mdomo shona na uzi
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
Koma koma, hivi inakuhusu wapi?
This is AKothee from kadera
Luos are stuborn one, I am difficult
Leave me alone don't admire me, leave me girl
Akothee is a dairy cow, if you milk her you get milk
Stop competing with me, I have done good for myself
Actually I am in a better place than you
If it were not, you wouldn't be bothered
Let me ask you Akothee
Have you ever seen a successful person?
Talk ill about someone below them?
People on the upper floor can't mingle with the lower floor
Lower people have mixed reactions and can burst
On anything based on their situation
I am better than them
Akothee the game changer
Hivi inakuhusu wapi?
Hivi inakuhusu wapi?
Hivi inakuhusu wapi?
Hivi inakuhusu wapi?
Mbona inakuchoma na haikuhusu?
Watch Video
About Hayakuhusu
More AKOTHEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl