Adam Lyrics
Adam Lyrics by ADAM MCHOMVU
Aah (Kiri)
ADAM
Yooh,
Picha linaanza kaniumba kwa mfano wake
Kama hiyo haitoshi, akaniumbia wanawake
Toka ubavu wa kushoto, Mungu akafanya yake
Kila rangi, kila shepu, makabila and I like it (come on)
Akanipa dunia pande zote kuitawala
Kutenda yaliyo mema
Toka kwake kama mshahara, busara
Kufwata amri kumi, nikibugi ndio msala, risala
Kabla ya kufanya na baada iwepo sala, imara
Mara ninamuona Eva, anakuja akicheka cheka
Fika karibu yangu, mkononi tunda kashika
Huku anarembua hajui kama kadanganyika
Toka mti wa kati kaona nyoka kashoboka
Na hapo nilipo hapo, zilipo anza Heka heka heka
(Adamu Adamu, Uko wapi?)
Sauti ikasikika, niko chimboni nimejificha
Na hisi niko uchi na naona mapicha picha
Hawa nyoka na Eva, wamesha iharibu feature
Adhabu gani utayo nipa Mungu baba sipati picha
(Adamu, mbona umekula wewe?)
Tukapewa adhabu ya kuanza kula kwa jasho
Kuzaa kwa uchungu pia nitakula kwa macho
Nitachezea kirungu na pingu nikiwa na hustle
Najazilisha magudu nikiabudu ma freemason
Tunakukumbuka baba kwenye matatizo
Tu tunakula ujana kumbe kesho giza
Tu tunasali mchana kumbe usiku mwanga
Tu tusamehe baba ni danger ukisema soon
Tukeshe kwa makanisa na msikiti tukisali
Tunapofanya makosa ni lazima tukubali
Tukiri, kisha tujibadili
Sio kutoa lawama na kuulizana maswali
(Adamu, mbona umekula wewe?)
Haa!
Hata ingekuwa wewe ungekula
Labda ningezaliwa Mchina maybe ningemla chura
Angalia maisha yako huu ni muda wa kumcha Mola
Na hamna nguzo imara zaidi ya kusimamisha swala
(swala swala)
Yeah, yeah
Hey, hey
ADAM
Let go
(Adamu, mbona umekula wewe?)
For the respect of the game
Respect of my name
Nasir Jones Escobar
The album Nassir, yeah
Area Code 255 Tanzania, Bea
Kiri record, one more time
Huh, stay positive bin Adam
You are my son, You are my daughter
Am your father ( haha)
hii sio cover hi ni jalada
Watch Video
About Adam
More ADAM MCHOMVU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl